BRASILIA, Brazil
KOCHA wa Brazil Mano Menezes amewaita wachezaji Maicon, Lucio na Elano kuunda kikosi ambacho kitapambana na Scotland Machi 27 mwaka huu.
Kikosi kamili cha Brazil ni kama ifuatavyo:-
Makipa:
Julio César (Inter)
Jefferson (Botafogo)
Victor (Grêmio)
Mabeki wa pembeni:
Daniel Alves (Barcelona)
Maicon (Inter)
André Santos (Fenerbahçe)
Marcelo (Real Madrid)
Mabeki wa kati:
Thiago Silva (Milan)
David Luiz (Chelsea)
Luisão (Benfica)
Lúcio (Inter)
Viungo:
Lucas (Liverpool)
Ramires (Chelsea)
Sandro (Tottenham)
Henrique (Cruzeiro)
Elias (Atlético Madrid)
Elano (Santos)
Renato Augusto (Bayer Leverkusen)
Jadson (Shakhtar Donetsk)
Lucas (São Paulo)
Washambuliaji:
Alexandre Pato (Milan)
Nilmar (Villarreal)
Neymar (Santos)
Jonas (Valencia)
No comments:
Post a Comment