![]() |
Shujaa wa Barcelona Lionel Messi akiingiwa katika Uwanja wa Camp Nou na Kombe la Klabu ya Ulaya walilonyakua katika Uwanja wa Wembley Uingereza juzi usiku. |
![]() |
Timu ya Barcelona ikipita katika basi la wazi katika mitaa ya mji wa Barcelona mara baada ya kuwasili. |
![]() |
Wafanyakazi na wachezaji wa Barcelonja wakiwa katika picha ya pamoja. |
![]() |
Umati wa watu wapatao 94,000 ambao walihudhuria katika mapokezi ya timu yao katika Uwanja wa Camp Nou. |
![]() |
Kocha wa Barcelona Pep Guardiola akiwasalimia mashabiki. |
![]() |
Nderemo na vifijo vikiendelea uwanjani. |
No comments:
Post a Comment