![]() |
Kocha wa Arsenal Arsene Wenger akitoa maelekezo kwa wachezaji wake katika mazoezi ya timu hiyo huko Malaysia. |
![]() |
Wachezaji wa Arsenal wakiwapungia mkono mashabiki waliojitokeza katika mazozezi ya timu hiyo. |
![]() |
Mashabiki waliojitokeza kuitazama Arsenal wakijifua. |
No comments:
Post a Comment