Sunday, July 17, 2011

KIATU KIPYA CHA BECKHAM.

Kiatu kipya cha David Beckham anayechezea LA Galax ya Marekani kikiwa kimeongezewa jina lingine la mwanawe wa kike aliyezaliwa hivi karibuni aitwae Harper kama kinavyoonekana katika picha.

No comments:

Post a Comment