Bradley alitimuliwa jana Alhamisi baada ya miaka 5 ya uongozi, na sasa U.S soccer president Sunil Gulati amemtangaza Klismann kuwa manager mpya wa benchi la ufundi la watoto wa Obama.
Klismann ataiongoza U.S kwa mara ya kwanza katika mechi dhidi ya Mexico on August 10
No comments:
Post a Comment