![]() |
Kikosi kamili cha Yanga ambacho hii leo kimeisambaratisha St George. |
TIMU ya soka ya Yanga imefanikiwa kutinga katika hatua ya fainali ya michuano ya Kombe la Kagame baada ya kufanikiwa kuifunga timu ya St George kwa changamoto ya mikwaju ya penati 5-4 mara baada ya kutoka suluhu katika dakika 120 walizocheza katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment