Friday, February 25, 2011

HASHEEM THABEET AJIUNGA NA HOUSTON ROCKETS.

HABARI ambazo zimetufikia muda si mrefu uliopita zinapasha kwamba mtanzania wa kwanza kucheza katika ligi ya NBA,Hasheem Thabeet aliyekuwa akichezea timu ya Memphis Grizzlies, ameuzwa kwenda timu ya Houston Rockets ya jijini Houston,Texas katika mabadilishano maalumu baina ya timu hizo mbili.


Katika mabadilishano hayo,mchezaji Shane Battier aliyekuwa akichezea timu anayokwenda Hasheem(Houston Rockets) anajiunga na Memphis Grizzlies.



Maendeleo ya Hasheem katika ligi hiyo ya NBA yamekuwa hayaridhishi.


Read more: HASHEEM THABEET KUJIUNGA NA HOUSTON ROCKETS! - BongoCelebrity 

No comments:

Post a Comment