Wednesday, February 16, 2011

TOTTENHAM HOTSPURS YAICHAPA AC MILAN CHAMPIONS LEAGUE.

Peter Crouch akifunga bao la ushindi dhidi ya AC Milan jana usiku katika Uwanja wa San Siro, Milan.

Wachezaji wa Tottenham wakishangilia bao pekee lilifungwa na Crouch dhidi ya AC Milan jana usiku.

Mchezaji wa Tottenham Corluka akigaragara chini baada ya kuchezewa vibaya na Flamini wa AC Milan jana usiku.


Mchezaji wa AC Milan Gattuso akigombana na kocha msaidizi wa  Tottenham Joe Jordan wakati timu hizo zilipokutana jana usiku. 


No comments:

Post a Comment