![]() |
Kikosi kamili cha Yanga kilichoisambaratisha Simba kwa bao 1-0 katika mchezo wa fainali ya mchezo wa Kombe Kagame uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. |
![]() |
Wachezaji wa wakinyanyua juu kombe lao la ushindi. |
![]() |
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Emmanuel Nchimbi akimkabidhi Nahodha wa Yanga Shadrack Nsajigwa kitita cha Dola 30,000 kama zawadi kwa washindi. |
![]() |
Skrini kubwa ya uwanjani ikionyesha matokeo yalivyokuwa. |
![]() |
Mashabiki wa Yanga waliojitokeza uwanjani. |
![]() |
Mashabiki wa Simba wakiwa hawaamini kilichotokea mara baada ya timu yao ,kufungwa bao katika dakika za nyongeza. |
No comments:
Post a Comment