Thursday, January 13, 2011

JINSI RONALDINHO ALIVYOPOKEWA KISHUJAA BRAZIL.

Ronaldinho akiwa na Rais Flamengo Patricia Amorim wakati akimtambulisha rasmi mbele ya maelfu ya watu jijini Rio.

Shabiki wa Ronaldinho akiwa na sanamu ya mchezaji huyo katika hafla ya kumtambulisha mchezaji huyo.

Picha juu inaonesha maelfu ya mashabiki wanaokadiriwa kufikia 20,000 walihudhiria hafla ya kutambulishwa mchezaji huyo katika timu ya Flamengo.

No comments:

Post a Comment