Saturday, February 26, 2011

MAN UNITED YAICHAKACHUA WIGAN MABAO 4-0 NA KUENDELEA KUJIKITA KILELENI.

Mshambuliaji wa Man United Javier Hernandez akifunga bao la kwanza katika mchezo huo uliochezwa jioni.

Hernandez akishangilia bao lake.

Wayne Rooney akifunga bao katika mchezo huo.

Rooney akikabana vilivyo na mchezaji wa Wigan Ben Watson katika mchezo huo.

No comments:

Post a Comment