Monday, February 28, 2011

NDOTO ZA MAN CITY KUNYAKUWA UBINGWA WA LIGI KUU ZAZIDI KUPEPERUKA BAADA YA KUKUBALI SARE YA 1-1 NA FULHAM.

Mchezaji wa Man City Jerome Boateng akichuana vikali na mchezaji wa Fulham Clint Dempsey katika mchezo baina ya timu hizo ulichezwa katika Uwanja wa City of Manchester jana usiku.

Beki wa Fulham Moussa Dembele akijaribu kumdhibiti mshambuliaji wa Man City Edin Dzeko katika mchezo baina ya timu hizo.

Mshambualiaji wa Fulham Damien Duff akishabgilia na Dembele mara baada ya kuipatia timu hiyo bao la kuongoza.

Wachezaji wa Man City wakimpongeza Mario Balotelli mara baada ya kuisawazishia timu yake bao dhidi ya Man City jana usiku.

Michezo mingine ya Ligi Kuu iliyochezwa wikiendi hii na matokeo yake ni kama ifuatavyo:

Newcastle 1-1 Bolton
Wolves 4-0 Blackpool
Aston Villa 4-1 Blackburn
Everton 2-0 Sunderland
West Ham utd 3-1 Liverpool

JUMATATU;
Stoke v West Brom

No comments:

Post a Comment