![]() |
Mshambuliaji wa Bafana Bafana Bongani Khumalo akishangilia mara baada ya kufunga bao dhidi ya timu ya Ufaransa katika Kombe la Dunia. |
PRETORIA, South Africa
TIMU ya Taifa ya Afrika Kusini ipo mbioni kuliacha kulitumia jina la utani la Bafana Bafana kwa sababu halihamasishi vya kutosha.
Waziri wa Michezo wa nchi hiyo, Fikile Mbalula badala ya kutumia jina la Bafana Bafana hivi sasa wanaangalia uwezekano wa kutumia kati ya majina matano ya wanyama maarufu nchini humo ambayo ni Kiboko (Buffalo), Simba (Lion), Kifaru (Rhino), Chui (Leopard) na Tembo (Elephant).
No comments:
Post a Comment