Sunday, May 1, 2011

ENGLISH PREMIER LEAGUE: ARSENAL 1 MANCHESTER UNITED O.

Mshambuliaji wa Arsenal Aaron Ramsey akifunga bao huku kipa wa Manchester United Edwin van de Sar katika mchezo ulizikutanisha timu hizo jioni hii katika Uwanja wa Emirates.

Ramsey akishangilia bao lake.

Van der Sar akiangalia mpira ulipigwa na Ramsey na kutinga wavuni.

Patrice Evra wa Man United akimchezea ndivyo sivyo Theo Walcott wa Arsenal katika eneo la hatari la mwamuzi wa mchezo huo alipeta.

Wachezaji wa Man United wakimnyooshea mikono mwamuzi kudai tuta baada ya Michael owen kuangushwa eneo la hatari hiyo nayo mwamuzi alipeta.

Homa ya mchezo, wachezaji wa Arsenal na Man United wakizozana katika moja ya purukushani za mchezo huo.

Mkali wa muvi huko Hollwood mwanadada Charlize Theron akiwa amepozi huku akishuhudia mchezo Arsenal na Manchester United jioni hii. 

Babu Ferg kiti kilikuwa cha moto.

Wayne Rooney katika purukushani na Alex Song.

No comments:

Post a Comment