KLABU ya Tottenham jana walipeleka ofa ya £10million kwa Blackburn kwa ajili ya beki Christopher Samba.
Spurs pia pamoja na kutoa kiasi hicho watamtoa mchezaji mmoja ili kuongeza uzito katika dili hilo.
Arsenal na Everton wote wanamtaka Samba, anayetajwa kuwa na thamani ya £12million, lakini Spurs hawapo tayari kutoa pesa hizo(£12m) ila watatoa pesa walizo-offer pamoja na mchezaji mmojawapo kati ya Jermain Defoe, Robbie Kean, David Bentley or Sebastian Bassong.
No comments:
Post a Comment