Sunday, August 7, 2011
Friday, August 5, 2011
Italian job for Arsenal as Wenger's men face tricky Euro play-off against Udinese
NYON, FRANCE
LEAGUE ROUTE
Odense v Villarreal
Twente v Benfica
Arsenal v Udinese
Lyon v Rubin Kazan
Bayern Munich v Zurich
CHAMPIONS ROUTE
Wisla Krakow v APOEL
Maccabi Haifa v Genk
Dinamo Zagreb v Malmo
BATE v Sturm Graz
Copenhagen v Viktoria Plzen
LEAGUE ROUTE
Odense v Villarreal
Twente v Benfica
Arsenal v Udinese
Lyon v Rubin Kazan
Bayern Munich v Zurich
CHAMPIONS ROUTE
Wisla Krakow v APOEL
Maccabi Haifa v Genk
Dinamo Zagreb v Malmo
BATE v Sturm Graz
Copenhagen v Viktoria Plzen
MAHOJIANO YA XAVI.
BARCELONA, Hispania
XAVI Hernandez anazungumza kwa tabasamu la furaha na kujiamini yeye ni wa kipekee. Anapenda mpira ndiyo maana wikendi moja alikwenda Italia kushuhudia mechi ya Sampdoria na Juventus ingawa hakufurahishwa na mchezo uliochezwa.
Lakini Xavi ambaye ni mchezaji miongoni mwa wachezaji watatu bora wa Dunia, anaamini kuwa aina ya mchezo wa Barcelona na timu ya taifa ya Hispania ndiyo bora zaidi duniani kwa sasa.
Lakini ni mchezaji anayetoa heshima kwa wenzake. Xavi anasema kuwa nyota kama Paul Ince, Paul Scholes, Michael Carrick, Roy Keane, John Terry na Jammie Carragher ni bora na anawaheshimu sana.
NINI SIRI YA MAFANIKIO YAKO?
“Kujiamini, kufanya mazoezi ya kutosha, kupokea ushauri, kupumzika pia kupokea mafundisho sababu nina ‘enjoy’ mpira kote Barcelona hadi katika timu ya taifa. Pia nidhamu ni jambo la msingi. Pia naamini kuwa makocha wote wa Hispania wana falsafa moja ya mchezo (kucheza kwa tabasamu)”
JE UNA NAFASI YA KUCHEZA ENGLAND?
“Mchezaji huweza kucheza mahali kokote, ila inategemea na kuzoea aina ya mchezo wa sehemu husika. Xabi Alonso na Mikel Arteta wanaweza kuwa mfano mzuri wamefanikiwa kucheza England na wamefanya vizuri”
UNAZUNGUMZIAJE TUZO ZILIZOPITA ZA MCHEZAJI BORA WA DUNIA?
“Ninasikitika sikushinda lakini sikuwa wa kwanza mimi kushindwa. Naheshimu maamuzi ya majaji”
UNAFIKIRIA KUACHA KUICHEZEA BARCELONA?
“Hapana, navutiwa sana na soka la Barca ila pia napenda changamoto ya kucheza mazingira tofauti tofauti”
HATA KUCHEZA ENGLAND?
“Ndiyo, sipendi soka la Italia ila napenda soka la England na naipenda Manchester United kwani ina soka la ‘ajabu’ pia navutiwa na mashabiki wa England ambao wanashangilia kwa nguvu ukilinganisha na vilabu vya Hispania, kwani mashabiki kama wa Espanyol, Atletico Madrid na Sevilla huwa wanashangilia kwa kupiga sana kelele”
UNAHISI NINI KUHUSU UMAARUFU WAKO?
“Najisikia faraja kujulikana duniani kote kama mastaa wengine waliopita, na najivunia kuwepo Barcelona, watu wananichukulia mimi kama mfano hapa Catalunya na La Masia. Pia kocha Vicent Del Bosque anavutiwa na tabia yangu ya kutozungumza na vyombo vya habari, Frank Benckerbeur na Michael Platini (Rais wa Uefa) wanapenda nidhamu yangu”
UNAMZUNGUMZIAJE PEP GUARDIOLA?
“Umesema Guardiola?...Pep ni kocha mwenye msimamo ana miaka mitatu tangu awepo hapa kama kocha na wakati anasaini mkataba alisema amekuja kuipaisha Barcelona. Pep ni kocha mwenye kutaka kazi yake ikamilike pia anachukia mtu mzembe na anataka utimamu wa mwili na akili kwa kila mchezaji”
UNADHANI PEP ATAFANIKIWA AKIPEWA TIMU ENGLAND?
“Ndiyo, sababu Pep ana kipaji cha kufundisha timu yoyote atakayopewa”
NI KWELI UJUZI WA PEP NA SAPOTI YA MASHABIKI WENU NDIYO INAFANYA MUONEKANE BORA?
“Ni kwamba kuwa bora hutambulishwa na matokeo bora KWAMBA KUWA BORA, fikiria kuwa Guardiola asingekuwa na matokeo bora basi na wapenzi wasingemuona bora ….Mchezaji bora ni yule anayefanya kazi na kocha bora”
UNAZUNGUMZIAJE LA MASIA?
“Wachezaji wote wa Catalunya lazima wapitie La Masia kwani shule hii huzalisha aina bora ya soka Duniani—mfano mzuri ni Sergio Busquets ambaye ni kiungo bora katika pasi za one-two na ni kinda mwenye rekodi za ajabu kutoka La Masia…..La Masia ni chuo bora zaidi ya kile cha Ajax Amsterdam ambacho kiliwaibua nyota kama Johan Cruffy”
KUNA CHANGAMOTO GANI CAMP NOU?
“Changamoto zipo na uwepo wangu tu na uwezo wangu uwanjani unanipa mataji nikishirikiana na David Villa, Leo Messi, Busquets, Inesta na timu nzima ya Barcelona, kwa sasa sina wasiwasi sana na nafasi yangu labda vijana wa kutoka La Masia watakapokuja hapo baadae, lakini si kwa wachezaji wa sasa wa Barcelona”

Thursday, August 4, 2011
POULSEN AMUENGUA KASEJA KATIKA KIKOSI CHAKE.
DAR ES SALAAM, Tanzania
KOCHA Mkuu wa Taifa Stars, Jan Poulsen ametangaza kikosi cha wachezaji 20 kwa ajili ya mechi ya kirafiki ugenini inayochezwa kwenye tarehe zinazotambuliwa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA)- FIFA dates. Mechi itachezwa Agosti 10 mwaka huu.
Wachezaji walioitwa kwenye kikosi hicho ni makipa; Shabani Dihile (JKT Ruvu) na Shabani Kado (Yanga). Mabeki ni nahodha Shadrack Nsajigwa (Yanga), Aggrey Morris (Azam), Nadir Haroub (Yanga), Amir Maftah (Simba), Chacha Marwa (Yanga) na Juma Nyoso (Simba).
Viungo ni Shabani Nditi (Mtibwa Sugar), Juma Seif ‘Kijiko’ (Yanga), Jabir Aziz (Azam), Nurdin Bakari (Yanga), Soud Mohamed (Toto Africans) na Godfrey Taita (Yanga). Washambuliaji ni Salum Machaku (Simba), Julius Mrope (Yanga), Mrisho Ngassa (Azam), Hussein Javu (Mtibwa Sugar), John Bocco (Azam) na Thomas Ulimwengu (U23).
Timu itaingia kambini kesho (Agosti 5 mwaka huu) jijini Dar es Salaam na itaanza mazoezi siku hiyo hiyo saa 10 jioni kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume. Msafara wa timu hiyo wa jumla ya watu 30 utaongozwa na mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia ambaye pia ni Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano.

KAMATI YA TIBAIGANA YAKUTANA KUIJADILI SHINYANGA UNITED.
DAR ES SALAAM, Tanzania
KAMATI ya Nidhamu na Usuluhishi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) chini ya Mwenyekiti wake Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Mstaafu Alfred Tibagana imekutana leo kusikiliza mashauri mbalimbali yaliyowasilishwa mbele yake.
Shinyanga United ilikata rufani kupinga kuenguliwa kwenye fainali hizo, uamuzi uliofanywa na Kamati ya Mashindano ya TFF baada ya klabu hiyo baada ya kutozingatia maelekezo ya TFF kuhusu usajili wa wachezaji wake.
Klabu hiyo ilipinga kuenguliwa ikieleza kuwa haikupata taarifa yoyote ya maandishi kutoka TFF ikiwazuia kuwatumia wachezaji ambao usajili wao ulikuwa na matatizo, na pia usajili wao ulifanywa na TFF.
Kwa uamuzi huo, Shinyanga United ambayo ilishika nafasi ya tatu katika Kituo cha Kigoma sasa itashiriki katika Fainali za Ligi ya Taifa zinazoanza keshokutwa (Agosti 6 mwaka huu) jijini Tanga.
Awali nafasi ya Shinyanga United ilikuwa imepewa timu ya Rumanyika SC ya Mkoa wa Kagera ambayo ilikuwa imeshika nafasi ya nne katika kituo hicho kilichokuwa na timu tano.

FERGUSON: BERBATOV RUKSA KUONDOKA.
LONDON, England
MIAKA ya kuhangaika kufanya vizuri ndani ya United kwa Dimitar Berbatov inaonekana kuelekea mwishoni baada ya jana Sir Alex Ferguson kukiri kuwa mbulgaria huyo anaweza kujiunga na Paris Saint Germain.
Klabu mpya tajiri ya Ufaransa wamekuwa wakimtaka Berbatov kipindi hiki chote cha usajili na hatimaye wamefanya mawasiliano na Red Devils.
Akiulizwa kupitia French TV baada ya kikosi cha United XI kufungwa na Mersaile 8-2 mjini Monaco kama Dimitar anaweza kwenda Ufaransa, United Manager alisema: “Ndio, anaweza.Hilo linawezekana.”

SPURS NAYO YAMNYATIA SAMBA.
LONDON, England
KLABU ya Tottenham jana walipeleka ofa ya £10million kwa Blackburn kwa ajili ya beki Christopher Samba.
Spurs pia pamoja na kutoa kiasi hicho watamtoa mchezaji mmoja ili kuongeza uzito katika dili hilo.
Arsenal na Everton wote wanamtaka Samba, anayetajwa kuwa na thamani ya £12million, lakini Spurs hawapo tayari kutoa pesa hizo(£12m) ila watatoa pesa walizo-offer pamoja na mchezaji mmojawapo kati ya Jermain Defoe, Robbie Kean, David Bentley or Sebastian Bassong.

"HATUHITAJI MSHAMBULIAJI MWINGINE." RONALDO.
MADRID TOUR ASIA.
MSHAMBULIAJI wa Real Madrid Cristiano Ronaldo amesisitiza kuwa timu yake haihitaji kusajili mshambuliaji mwingine katika kipindi hiki cha kiangazi.
Timu hiyo inayonolewa na Jose Mourinho imekuwa ikihusishwa na suala la kusajili washambuliaji mbalimbali akiwemo mshambualiaji wa Santos Neymar na Emmanuel Adebayor wa Manchester City lakini Ronaldo anaona washambualiji waliopo wanatosha.
"Hatuhitaji kusajili mshambualiaji mwingine. Nafikiri inabidi tujivunie kikosi tulichonacho sasa," alisema Ronaldo akihojiwa na luninga ya ESPN.
Madrid tayari wameshapata saini ya Jose callejon kutoka Espanyol ilikuongeza nguvu katika ushambualiaji lakini Mourinho anaonekana hajatosheka pamoja na comments iliyotolewa na Ronaldo na anahitaji kuongeza mshambuliaji mwingine.

Tuesday, August 2, 2011
WILSHERE HATIHATI TIMU YA TAIFA.
LONDON, England
KIUNGO kinda wa klabu ya Arsenal Jack Wilshere, huenda akakosa nafasi ya kuitwa katika timu ya taifa ya Uingereza kufuatia maumivu wa kifundo cha mguu aliyoyapata jana akiwa katika mchezo wa pili wa michuano ya Kombe la Emirates huko jijini London.
Wilshere ameibu fikra hizo, kufautia maelezo yaliyotolewa na meneja wa Arsenal Arsene Wenger katika mkutano na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa mchezo dhidi ya New York Red Bulls kutoka nchini Marekani na Arsenal kuambulia matokeo ya sare ya bao moja kwa moja.
Arsene Wenger alisema kiungo huyo mwenye umri wa miaka 19 huenda akawa nje ya uwanja hadi juma lijalo, hatua ambayo itamfanya kuukosa mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya Uingereza dhidi ya washindi wa pili wa fainali za kombe la Dunia 2010 timu ya taifa ya Uholanzi.
Hata hivyo meneja huyo kutoka nchini Ufaransa amedai kwamba, bado kuna uwezekano mkubwa kwa Jack Wilshere kuwahi kurejea uwanjani, kufautia maelezo aliyohakikishia na jopo la madaktari klabuni hapo hivyo itatazamwa kama hatua hiyo itafanikiwa.
Wakati Wilshere, akiwa katika hali ya sintofahamu, tayari kiungo na nahodha wa klabu ya Liverpool Steven Gerrard pamoja na winga wa Arsenal Theo Walcott wameshaenguliwa kikosini kufautia mnajeraha yanayowakabili kwa sasa.
Wakati huo huo, kocha mkuu wa timu ya taifa ya Uingereza Fabio Capello amepania kuipa mafanikio makubwa nchi hiyo kabla hajamaliza muda wake baada ya fainali za mataifa ya barani Ulaya zitakazofanyika mwakani huko nchini Ukraine pamoja na Poland.
Fabio Capello ameeleza mpango huo, wakati akifanyia mahojiano na kiutuo cha televisheni cha nchini kwao Italia ambapo amesema anaimani ataweza kufikia malengo hayo kutokana na umahiri wa kikosi chake kwa sasa.
Amesema hakuna linaloshindikana hasa ukizingatiwa kwamba nchi ya Uingereza imesubiri kwa kipindi kirefu kutwaa mataji, ambapo kwa mara ya mwisho kufanya hivyo ilikua mwaka 1966 katika fainali za kombe la dunia.

SNEIJDER AKIRI YUKO TAYARI KUITUMIKIA MAN UNITED.
REPUBLIC OF IRELAND.
KIUNGO wa kimataifa toka nchini Uholanzi pamoja na klabu bingwa duniani Inter Milan Wesley Sneijder amekiri kuwa tayari kujiunga na mabingwa wa soka nchini Uingereza Man utd, endapo klabu hiyo itaonyesha nia thabiti ya kutaka kumsajili katika kipindi hiki cha kuelekea msimu mpya wa ligi.
Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 27, amekiri kuwa tayari kusajiliwa na klabu hiyo akiwa Jamhuri ya Ireland ambapo Inter Milan ilikua ikishiriki michuano ya kuwania ubingwa wa Dublin Super Cup ambapo pia klabu kama Celtic ya nchini Scotland, Man City ya nchini Uingereza pamoja na kikosi maalum cha jamuhuri ya Ireland zilishiriki.
Alisema kwa sasa hawezi kuzungumza lolote juu ya kutaka kusajiliwa na Man Utd, kutokanana taarifa zilizopo kutokua rasmi lakini atafanya hivyo endapo kila kitu kitakua vyema na kufahamika kupitia kwa viongzo wa klabu yake ya Inter Milan.
Hata hivyo Sneijder, ametanabai kwamba licha ya taarifa za kutakiwa na Man utd kuendelea kushamiri, bado anajihisi ni mwenye furaha kuendelea kubaki na Inter Milan katika kipindi hiki cha kujiandaa na msimu mpya wa ligi na hadhani kama suala hilo linaweza kumchanganya na akashindwa kufanya shughuli zake nyingine.
Nae meneja wa klabu ya Inter Milan Gian Piero Gasperini, amevitaka vyombo vya habari ulimwenguni kote kuacha kuzusha taarifa za mchezaji wake kuhitajika kwa udi na uvumba huko Old Trafford, ili hali hakuna ukweli wowote juu ya suala hilo.
Alisema mpaka sasa hawajapokea taarifa iliyo rasmi kama Wesley Sneijder, anahitajika kwenye kikosi cha Man Utd na akatoa ushauri kwa waandishi wa habari kusubiri hadi siku ya mwisho ya usajili ambayo ni August 31.
Hata hivyo meneja wa Man Utd Sir Alex Ferguson ameshafunga mjadala wa kiungo huyo kwa kusema hana mpango wowote wa kumsajili.

NGORONGORO HEROES WAALIKIWA COSAFA.
DAR ES SALAAM, Tanzania
TIMU ya vijana wenye umri chini ya miaka 20 ya Tanzania (Ngorongoro Heroes) imealikwa kushiriki michuano ya umri huo ya Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Kusini mwaka Afrika (COSAFA) itakayofanyika kuanzia Desemba 1-10 jijini Gaborone, Botswana.
Wachezaji wanaotakiwa kushiriki michuano hiyo ni wale waliozaliwa baada ya Januari 1, 1992. Timu zinatakiwa kuthibitisha ushiriki wao kufikia Agosti 17 mwaka huu na ratiba itapangwa Agosti 24 mwaka huu jijini Gaborone. COSAFA itachangia sehemu ya nauli ya timu shiriki kwenda kwenye mashindano hayo.
Ngorongoro Heroes inayofundishwa na Kim Poulsen akisaidiwa na Adolf Rishard hivi sasa inafanya mazoezi ya wiki moja kila mwezi.

WATANI WA JADI KUKUTANA AGOSTI 29 KATIKA MZUNGUKO WA KWANZA WA LIGI KUU.
DAR ES SALAAM, Tanzania
VILLA Squad ya Dar es Salaam iliyopanda daraja msimu huu Agosti 20 mwaka huu itaanza michuano ya Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2011/2012 kwa kucheza ugenini dhidi ya Toto Africans kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, jijini Mwanza.
Mechi nyingine za raundi ya kwanza zitakuwa kati ya Coastal Union na Mtibwa Sugar (Mkwakwani, Tanga), Kagera Sugar na Ruvu Shooting (Kaitaba, Bukoba), Polisi Dodoma na African Lyon (Jamhuri, Dodoma) na Azam na Moro United (Chamazi, Dar es Salaam).
Raundi ya kwanza itamalizika Agosti 21 mwaka huu kwa mechi kati ya JKT Oljoro na Simba kwenye Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Kaluta Amri Abeid, Arusha na Yanga dhidi ya JKT Ruvu kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Mzunguko wa kwanza (first leg) wa ligi hiyo utamalizika Novemba 5 mwaka huu wakati mzunguko wa pili (second leg) utamalizika Aprili Mosi mwakani ambapo jumla ya mechi 175 zitachezwa.
Pambano la watani wa jadi kati ya Yanga na Simba litafanyika Oktoba 29 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mechi ya mzunguko wa pili ambapo Simba itakuwa mwenyeji itafanyika Aprili Mosi mwakani kwenye uwanja huo huo.

Monday, August 1, 2011
SANTOS YATISHIA KUISHTAKI MADRID KUHUSU NEYMAR.
SANTOS, BRAZIL
MABINGWA wa Copa Libertadores Santos wamedhamiria kuendelea kuwa na mchezaji wao Neymar mpaka yatakapomalizika michuano ya Klabu Bingwa ya Dunia, lakini klabu ya Real Madrid wameamua kumfungia kibwebwe mchezaji huyo kwa kuweka kitita cha Euro milioni 45 mezani na tayari wameshaanza mazungumzo na wakala wa mchezaji huyo kuhusu kumyakua mchezaji huyo.
"Kama Madrid au klabu nyinginye yeyote ambao watakutana na mchezaji huyo kwa nia ya kumnunua hatutakuwa na njia nyingine bali ni kuwashitaki kwa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) kwa kuongea na mchhezaji bila ridhaa yetu. Mjadala kuhusu mchezaji huyo umefungwa na hautafunguliwa kwa sasa," alisema mmoja wa viongozi wa klabu hiyo.
"Real Madrid walishaongea na wakala wa Neymar jijini Paris na kuweka dau zuri. Nilishamwambia hatutamwachia aende hatahivyo na yeye anahitaji kuwa nasi pia.
"Nataka nikuhakikishie kuwa Neymar ataichezea Santos michuano ya Klabu Bingwa ya Dunia. Nilishasema hivyo kabla na ndivyo itakavyokuwa."
Mkataba wa Neymar (19) katika klabu ya Santos unakwisha 2015.

WENGER AKIRI ANAHITAJI KUNUNUA WACHEZAJI ILI KUIMARISHA KIKOSI CHAKE.
LONDON, England
KOCHA wa Arsenal Arsene Wenger amekiri kuwa anahitaji kuongeza nguvu katika kikosi kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa Ligi Kuu nchini humo.
Mashabiki wa Arsenal wamekuwa wakijipa matumaini kuhusu kutimka kwa nahodha wa timu hiyo Cesc Fabregas kwenda Barcelona wakati pia wameshashuhudia beki wake wakutegemewa akitimkia Manchester City katika kipindi hiki cha majira ya kiangazi.
Mpaka sasa Wenger amekwisha wasainisha beki kinda wa kati Carl Jenkinson na mshambualiaji Gervinho lakini anaamini kuwa bado anahitaji kuongeza nguvu zaidi.
Baada ya kukiona kikosi chake kikitoa sare ya bao 1-1 na New York Red Bulls katika Kombe la Emirates Wenger alisema akihojiwa kuwa atajaribu kuongeza nguvu katika kikosi chake ingawa hakuwa tayari kutaja majina ya wachezaji anaowahitaji.
Inawezekana katika kuongeza nguvu katika kikosi cha asiongeze mabeki wa kati kutokana na kufurahishwa na jinsi mabeki wake wa kati Thomas Vermaelen na Laurent Koscielny walivyokuwa wakielewana vyema dhidi ya timu ya Redbulls.
"Nafikiri mabeki wa kati ni wazuri, kwa mawazo yangu na walicheza vizuri. kama ukiangalia goli tulilofungwa leo halikutokana na makosa ya mabeki wa kati," alisema Wenger.
"Nimefurahishwa na siku hizi mbili. Tumefanya majaribio na kwa siku hizo mbili tumecheza vizuri."

ROAD TO BRAZIL 2014: UPANGAJI WA HATUA YA MAKUNDI.
UPANGAJI makundi ya mechi za mchujo kwa ajili ya fainali za Kombe la Dunia 2014 nchini Brazil ulifanywa juzi (Julai 30 mwaka huu) karibu na ufukwe wa Copacabana jijini Rio de Janeiro nchini Brazil ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) Jerome Valcke.
Tanzania (Taifa Stars) imepangwa kundi C Kanda ya Afrika ambalo lina timu za Cote d’Ivoire, Morocco na Gambia. Lakini kabla ya kuingia katika kundi hilo Stars italazimika kucheza raundi ya kwanza ya mchujo dhidi ya Chad.
Stars ikifanikiwa kuitoa Chad baada ya mechi mbili za nyumbani na ugenini zitakazochezwa kati ya Novemba 11-15 mwaka huu ndiyo itaingia katika kundi hilo la C. Pia mshindi wa kundi C ndiye atakayeingia katika raundi inayofuata kabla ya kupata tiketi ya kwenda Brazil.
Stars ni miongoni mwa timu 29 ambazo kwenye viwango vya ubora vya FIFA vya Julai mwaka huu katika Afrika ziko chini ya timu 24 bora, hivyo kulazimika kuanzia hatua hiyo ya kuchujana zenyewe kabla ya kuingia hatua ya makundi ambayo itachezwa kuanzia Juni 1, 2012 hadi Septemba 10, 2013.
Kwa mujibu wa viwango vya FIFA vya Julai mwaka huu, Tanzania iko katika nafasi ya 127 wakati Chad ni namba 158. Kwa upande wa Afrika, Tanzania ni namba 33 na Chad 43. Nchi 52 kati ya 53 za Afrika zimeingia katika michuano hiyo ya Kombe la Dunia. Ni Mauritania pekee ambayo haikuthibitisha ushiriki wake.
Timu 10 za juu kwa ubora barani Afrika ambazo zimeongoza makundi 10 ya Afrika katika upangaji ratiba ni Afrika Kusini, Tunisia, Cote d’Ivoire, Ghana, Burkina Faso, Nigeria, Misri, Algeria, Cameroon na Senegal.
Afrika ina nafasi tano kwenye fainali za Kombe la Dunia, huku Ulaya ikiongoza kwa kuwa nazo 13
CAF FIRST ROUND
Somalia v Ethiopia
Equatorial Guinea v Madagascar
Chad v Tanzania
Lesotho v Burundi
Sao Tome e Principe v Congo
Seychelles v Kenya
Djibouti v Namibia
Comoros v Mozambique
Eritrea v Rwanda
Guinea-Bissau v Togo
Swaziland v DR Congo
Mauritius v Liberia
GROUP A
South Africa
Botswana
Central African Republic
Somalia/Ethiopia
GROUP B
Tunisia
Cape Verde Islands
Sierra Leone
Equatorial Guinea/Madagascar
GROUP C
Ivory Coast
Morocco
Gambia
Chad/Tanzania
GROUP D
Ghana
Zambia
Sudan
Lesotho/Burundi
GROUP E
Burkina Faso
Gabon
Niger
Sao Tome e Principe/Congo
GROUP F
Nigeria
Malawi
Seychelles/Kenya
Djibouti/Namibia
GROUP G
Egypt
Guinea
Zimbabwe
Comoros/Mozambique
GROUP H
Algeria
Mali
Benin
Eritrea/Rwanda
GROUP I
Cameroon
Libya
Guinea-Bissau/Togo
Swaziland/DR Congo
GROUP J
Senegal
Uganda
Angola
Mauritius/Liberia
Concacaf
The teams ranked 7-25 in the region will be joined by the five play-off winning teams from round one to comprise six groups of four teams in the second round of qualification.
The group winners will then be drawn alongside the six best-ranked teams in the region in the third round of the qualification process before the fourth round, the Hexagon, commences.
SECOND ROUND:
GROUP A
El Salvador
Surinam
Cayman Islands
Dominican Republic
GROUP B
Trinidad & Tobago
Guyana
Barbados
Bermuda
GROUP C
Panama
Dominica
Nicaragua
Bahamas
GROUP D
Canada
St.Kitts & Nevis
Puerto Rico
St Lucia
GROUP E
Grenada
Guatemala
St Vincent & the Grenadines
Belize
GROUP F
Haiti
Antigua & Barbuda
Curacao
US Virgin Islands
THIRD ROUND:
GROUP A
USA
Jamaica
Winner E
Winner F
GROUP B
Mexico
Costa Rica
Winner A
Winner B
GROUP C
Honduras
Cuba
Winner D
Winner C
Conmebol
Brazil, as hosts, qualify automatically. Each of the other nine member teams will play against each other home and away in order to determine the final finishing order of qualified sides. The top four will play at the 2014 Fifa World Cup while the fifth placed team will face an intercontinental play-off with a Concacaf nation.
CONMEBOL TABLE
Argentina
Bolivia
Chile
Colombia
Ecuador
Paraguay
Peru
Uruguay
Venezuela
The winners of each group will qualify directly for the 2014 Fifa World Cup. The eight best runners-up will be drawn against each other in a two-legged play-off to determine the other four qualifiers.
GROUP A
Croatia
Serbia
Belgium
Scotland
FYR Macedonia
Wales
GROUP B
Italy
Denmark
Czech Republic
Bulgaria
Armenia
Malta
GROUP C
Germany
Sweden
Ireland
Austria
Faroe Islands
Kazakhstan
GROUP D
Netherlands
Turkey
Hungary
Romania
Estonia
Andorra
GROUP E
Norway
Slovenia
Switzerland
Albania
Cyprus
Iceland
GROUP F
Portugal
Russia
Israel
Northern Ireland
Azerbaijan
Luxembourg
GROUP G
Greece
Slovakia
Bosnia-Herzegovina
Lithuania
Latvia
Liechtenstein
GROUP H
England
Montenegro
Ukraine
Poland
Moldova
San Marino
GROUP I
Spain
France
Belarus
Georgia
Finland

FOOTBALLERS ON TWITTER TODAY.
"Learning how the play the drums with @WMakinaciones ooohhhh moc moc http://yfrog.com/h8dagrqj"
A career as a musician could be in the making for Carles Puyol once he hangs up his boots. (http://twitter.com/Carles5puyol)
"Would love to see Sneijder, Etoo, Kaka or Benzema in the PL."
Everton's Louis Saha is keen for more world-class firepower to join Premier League clubs. (http://twitter.com/louissaha08)
"7 to 5 subs decided upon because some clubs struggled to be able to name 7 subs the twitterverse tells me unanimously..give youth a chance"
Manchester United's Rio Ferdinand was disappointed to learn about the decision to allow Football League clubs to name just five substitutes. (http://twitter.com/rioferdy5)
"The People magazine writes I told about Kun to them. I've NEVER spoken to anyone of this magazine. it's FALSE"
Atletico Madrid striker Diego Forlan denied quotes that had allegedly been made by him about Sergio Aguero. (http://twitter.com/DiegoForlan7)
"Came off today because i felt my ankle...going for a scan tomorrow will let you know...spending my evening with @Jack_Marshall_ :)"
Arsenal's Jack Wilshere is hoping that his injury worries will be nothing serious. (http://twitter.com/JackWilshere)

Subscribe to:
Posts (Atom)